Waamuzi wa Tanzania wateuliwa na CAF kuchezesha mchezo wa ligi ya mabingwa Afrika

Jannatul Firdaus

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2026
Posts
446
Reaction score
1,113
Waamuzi wa Tanzania Nasir Salum, Mohamed Mkono, Ally Ramadhani na Ahmed Arajiga wameteuliwa na CAF kuchezesha mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika (CAFCL) JS Saoura (Algeria) vs Horoya AC ( Guinea) utakaochezwa uwanja wa Miloud Hadefi Septemba 4, 2026
 
Mashabiki wa Simba wanamuogopa sana Ahmed Arajiga. Akichezesha tu mechi ya timu yao dhidi ya Yanga lazima wafungwe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…