kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 13,778
- 14,214
Watu wengi hawapendi kukutana na vitu vyenye maudhi kwao. Ili kuepuka maudhi watu Wana tabia ya kujizuia kukutana na vyanzo vya maudhi hayo.
Watu wengi hawapendi kuangalia mechi za ligi kuu ili kuepuka maudhi yanayoletwa na waamuzi, hii inakwenda kuua moyo wa kuangalia TV na kwenda viwanjani kuangalia matokeo yaliyopangwa tayari. Kwakufanya hivyo lengo la Azam na wadau wengine kudhamini ligi halitatimia.
Huwezi kuamini namna usumbufu wanaoupata mashabiki, wanachama, wachezaji na wamiliki wa timu kwaajili ya njaa na mahaba ya waamuzi.
Kwanini bodi ya ligi inakataa wazo la kuruhusu TV moja iweko uwanjani kusaidia replays za matukio tata uweanjani ili kujaribu kuondoa makosa ya kibinadamu ya maamuzi ili kila timu ivune ilichostahili? Ina maana basi Kuna baraka za TFF kwenye madudu haya. Adhabu hizi zinazotolewa kwa waamuzi hazitoshi kabisa, hazimfanyi mwamuzi aogope kuchezeaha vile anavyochezesha.