A
Anonymous
Guest
Waandaji wa Rock City Marathon Mwaka jana 2023 walitangaza kuandaa mbio za Rocky City Marathon na kuanza kukusanya ada za ushiriki ambao zilitakiwa kufanyika tarehe 2 November 2023.
Baadaye wakatangaza kusogezwa mbele kwa mbio hizo mpaka tarehe 4 December 2023, siku kadhaa baadaye wakatangaza hazitakuwepo mpaka hapo itakapotangazwa tena.
Ni takribani Mwaka mmoja sasa na wapo kimya bila kutoa taarifa wakati walikusanya pesa za Watu, tuwaelewaje, kibaya zaidi Wadau wenye majina makubwa walikuwa sehemu ya 'patnaz' wa shughuli hiyo, je nao wanajua kilichotokea au walihusika?