Naamini kuna siku Wazungu watarudi kwenye utawala hapo SA.
Hawa wanenda kuchemka wanawalazimisha wawekezaji na wenye viwanda wawajiri wazawa nafasi zilizo achwa na wageni na waongeze kima cha chini cha mshahara.Wawekezaji wote wamewagomea kuna mmoja akasema yupo tayari kufunga kiwanda kama wataendelea kumfanyia vurugu.
Naamini kuna siku Wazungu watarudi kwenye utawala hapo SA.