Waandamanaji Nigeria wakicheza na wanajeshi

mwakani naolewa

Senior Member
Joined
Jul 25, 2024
Posts
148
Reaction score
426
Ikiwa ni siku ya tano ya maandamano yanayoendelea nchini Nigeria ya kupinga hali ngumu ya maisha na ukosefu wa ajira kwa vijana, huku raia wakitaka serikali ishuhulikie suala hilo kwa haraka zaidi, wananchi hao wameonekana wakicheza kwenye magari ya vikosi vya jeshi la taifa, hata hivyo vikosi vya usalama vimehakikisha ulinzi na usalama wakati wa maandamano

Pia soma
 
View attachment 3062659
Matapeli hao, wanaigiza usichukulia kuwa ni kweli
 
Usinikumbushe kitu kabisaaaa, hakuna jeshi lina askari katiri Afrika hii kama kina Ikechukwu hao hapo wanawachekea wakianza yao utakuja mbio hapa,
 
Jeshi la Nigeria ni la ajabu, kikosi kinaweza tumwa kwenda kulinda usalama sehemu fulani ya ndanindani uko. Kikafika uko kikaanza biashara ya mkaa, kikanyang'anya utawala wa kihalifu kwa magenge ya wahuni kikahodhi uhuni, kikakodiwa na majangili kiwape ulinzi, kikapigana na wananchi. Alafu magaidi wakipita kinawapa passage na kujifanya hakioni. As long as commission zinaenda kwa wakubwa wao plus ukabila na udini.

Nigeria wanajeshi wake wanalipwa mshahara mdogo sana, alafu maofisa wezi vibaya.
 
Ikiwa ni siku ya tano ya maandamano yanayoendelea nchini Nigeria ya kupinga hali ngumu ya maisha na ukosefu wa ajira kwa vijana, huku raia wakitaka serikali ishuhulikie suala hilo kwa haraka zaidi, wananchi hao wameonekana wakicheza kwenye magari ya vikosi vya jeshi la taifa, hata hivyo vikosi vya usalama vimehakikisha ulinzi na usalama wakati wa maandamano

Pia soma
View attachment 3062659
May be the beginning of the end of President Bola Tinubu.
 
Back
Top Bottom