mwakani naolewa
Senior Member
- Jul 25, 2024
- 148
- 426
Matapeli hao, wanaigiza usichukulia kuwa ni kweliIkiwa ni siku ya tano ya maandamano yanayoendelea nchini Nigeria ya kupinga hali ngumu ya maisha na ukosefu wa ajira kwa vijana, huku raia wakitaka serikali ishuhulikie suala hilo kwa haraka zaidi, wananchi hao wameonekana wakicheza kwenye magari ya vikosi vya jeshi la taifa, hata hivyo vikosi vya usalama vimehakikisha ulinzi na usalama wakati wa maandamano
Pia soma
View attachment 3062659
- Nigeria: Watu kadhaa wauawa kwa kupigwa risasi katika maandamano ya kulalamikia gharama ya maisha
- Wanigeria wakabiliwa na marufuku ya kutotoka nje ya saa 24 kufuatia maandamano
Jeshi la Nigeria ni la ajabu, kikosi kinaweza tumwa kwenda kulinda usalama sehemu fulani ya ndanindani uko. Kikafika uko kikaanza biashara ya mkaa, kikanyang'anya utawala wa kihalifu kwa magenge ya wahuni kikahodhi uhuni, kikakodiwa na majangili kiwape ulinzi, kikapigana na wananchi. Alafu magaidi wakipita kinawapa passage na kujifanya hakioni. As long as commission zinaenda kwa wakubwa wao plus ukabila na udini.Usinikumbushe kitu kabisaaaa, hakuna jeshi lina askari katiri Afrika hii kama kina Ikechukwu hao hapo wanawachekea wakianza yao utakuja mbio hapa,
May be the beginning of the end of President Bola Tinubu.Ikiwa ni siku ya tano ya maandamano yanayoendelea nchini Nigeria ya kupinga hali ngumu ya maisha na ukosefu wa ajira kwa vijana, huku raia wakitaka serikali ishuhulikie suala hilo kwa haraka zaidi, wananchi hao wameonekana wakicheza kwenye magari ya vikosi vya jeshi la taifa, hata hivyo vikosi vya usalama vimehakikisha ulinzi na usalama wakati wa maandamano
Pia soma
View attachment 3062659
- Nigeria: Watu kadhaa wauawa kwa kupigwa risasi katika maandamano ya kulalamikia gharama ya maisha
- Wanigeria wakabiliwa na marufuku ya kutotoka nje ya saa 24 kufuatia maandamano