Waandamanaji wa Kenya wabebe walao picha ya Mwai Kibaki kwa kuwapa katiba bora

Waandamanaji wa Kenya wabebe walao picha ya Mwai Kibaki kwa kuwapa katiba bora

Peacehand

Member
Joined
Mar 24, 2024
Posts
19
Reaction score
22
Huyo ndiye aliyewapa wa kenya katiba bora tofauti na vijitabu vya mataifa mengine. Baada ya kumaliza m.a ya uchumi huko uingereza alirudi kufundisha kabla hajatimukia kwenye siasa ambapo baada ya kifo cha kenyata moi alimeua kuwa makamu wa rais.

Akiwa makamu wa rais alipinga udikiteta wa moi hali iliyopelekea kuondolewa kwenya nafasi yake 1988 kisha kufukuzwa kanu 1991. Kibak aliunda chama chake cha dp ambapo mwaka 2002 alijiunga na vyama vingine kuunda narc na akafanikiwa kuwa rais wa tatu wa kenya huku wakiendelea kutumia katiba ya kabla ya 1963.

Baada ya machafuko ya 2007 akawaruhusu wa kenya wenyewe kuandika katiba yao. Rasimu ya wananchi ilikuwa na mabadiliko makubwa ikiwemo kupunguza nguvu za rais.

Baraza lote la mawaziri lilipinga katiba hiyo isipokuwa rais. Kibaki alivunja baraza lote la mawaziri na kusain rasimu hiyo
 
Raila ndio muasisi wa Katiba Mpya sio Kibaki. Kibaki alikuja na Rasimu yake ikapigwa Chini kwenye ndizi na chungwa, na chungwa ya Raila ikashinda. Ndipo Orange Movement ilipoanza. Mwaka 2010 Kibaki akaamua kuungana na Raila kuja na Rasimu ya Sasa. Ndio maana Wakenya humwita Raila Baba.
 
Back
Top Bottom