Webabu JF-Expert Member Joined Apr 29, 2010 Posts 10,509 Reaction score 16,734 Mar 26, 2025 #1 Vurugu imezuka kati ya polisi na waandamanaji nje ya Bunge la Israel baada ya waandamanaji kuzuia lango kuu la Bunge. Tukio hilo lilitokea kabla ya wabunge wa Knesset kupiga kura kuhusu bajeti ya taifa ya 2025, ambayo ni muhimu katika kuzuia serikali isivunjike. Your browser is not able to display this video.
Vurugu imezuka kati ya polisi na waandamanaji nje ya Bunge la Israel baada ya waandamanaji kuzuia lango kuu la Bunge. Tukio hilo lilitokea kabla ya wabunge wa Knesset kupiga kura kuhusu bajeti ya taifa ya 2025, ambayo ni muhimu katika kuzuia serikali isivunjike. Your browser is not able to display this video.