Tetesi: Waandamizi Watatu wameshafika Bei na huenda muda wowote kutoka sasa wakahamia kwenye Chama cha Furaha ya Machoni tu, ila Ndani Migogoro Tupu

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Na nasikia Mmoja wao Watu hawataamini kuwa nae kafika Bei kwani katikati mwaka jana alipiganiwa na kuonewa mno Huruma lakini huyo huyo kaamua Kusaliti na Kufika Bei.

Wengine Wawili waliobakia ilikuwa ni Suala la muda (hasa kusubiria Matokeo ya kilichoisha muda si mrefu) ili wapate sababu Tukuka ya Kuhamia Chama cha Furaha ya Machoni tu, ila Ndani Migogoro Tupu.
 
Sijawahi kupinga Habari zako, hapa najua ni suala la muda tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…