Waandishi hawa na Sare za Chama kulikoni?

Joined
Feb 22, 2024
Posts
15
Reaction score
15
Tokea kuanza wa Kampeni za Uchaguzi,waandishi wengi wamekuwa wakivaa sare za wagombea wa vyama hususan CCM na Bodi ya waandishi wa Habari wala haisemi kitu Juu yao.

Waandishi ndiyo tumaini la wananchi kupata taarifa isiyo na upendeleo wowote naamini Bodi itatekeleza wajibu wake kushughulika nao hao
Your browser is not able to display this video.
Your browser is not able to display this video.
 
Wengi wanaamini ukishaonekana mtandaoni umevaa kijani unaonekana wewe ni usalama au una koneksheni😁🐼
 
Hawa ndio wahariri wa vyombo vya habari ulivyo sikua wakiitwa na tec.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…