Rutunga M
JF-Expert Member
- Mar 16, 2009
- 1,769
- 1,390
Wajamane.
kundi la waandishi wapatao 9 walipo kwenye msafara wa JK katika mikoa ya Kanda ya ziwa hali zao ni mbaya kifedha
Bw Muhingo Rweyemamu aliye na fungu la kuwapatia waandishi hao hajawapatia hii ni siku ya tatu,
Ombi kama kuna mmoja ndugu yasko yuko humo tafadhari jaribu kumtumia fedha kidogo hata kwa MPesa,ZAP nk
Leo baadhi watalala Karagwe na wegine Ngara
Saidia waandishi hao,msiwaone kuvaa mavazi ya Nembo ya JK 2010 ikiwemo not book,pen,vitambulisho ,vest nk mfukono weupe WASAIDIE JAMANI,
Nimeombwa na mmoja wao nifikishe hii message