Fuatilieni hiyo interview hapo chini.
Watangazaji walioshiriki kipindi hiki ni mfano wa waandishi wa habari wasiojiongeza.
Na kwa bahati mbaya wamekusanyana wote wakiwa na MITIZAMO inayofanana, na hivyo kuharibu maudhui ya kipindi, na mjadala.
Mtangazaji anajiita mchambuzi wa siasa, lakini hajui taratibu za wanachama wa vyama vya siasa kukata rufaa, pale wanapoona hawajatendewa haki ktk michakato ya vyama vyao.
Mtangazaji / Mchambuzi wa Global TV anaamini kwamba mwanachama [ Msigwa] akiwa na malalamiko dhidi ya Mwenyekiti[ Mbowe ] wa chama chake hapaswi kulalamika, au kumshtaki mbele ya vikao vya chama.
Na ukifuatilia press conference ya Msigwa utamsikia anasema kwamba haamini kama Mbowe anahusika na fitina dhidi yake. Msigwa anasikika akisema anaamini wanaomhusisha Mbowe wanajaribu kumchafua.
View: https://www.youtube.com/watch?v=wvWgi8JzWUs