Waandishi wa habari jaribuni kuangalia heading zenu kwenye magazeti....

Waandishi wa habari jaribuni kuangalia heading zenu kwenye magazeti....

FirstLady1

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2009
Posts
16,789
Reaction score
5,401
Leo nilikuwa nasikiliza habari katika magazeti vichwa vya habari vilivyowekwa kwenye magazeti haya nimejikuta katika mshangao sana
Hivi huwa mnafatilia habari kwa kina kabla ya kuzitoa hewani

Majira -Zitto kujiondoa Chadema
Habari leo ..Zitto kufukuzwa Chadema

Kipi ni kipi hapo ???
 
Mama
hao ndo walivyo na sihapa kwetu TZ, popote pale duniani. Ila najua waliweka alama za kuuliza katika hiyo habari.
 
wamegundua kikwete hauzi magazeti sasa wanauza kupitia zitto, tukimaliza hapo utasikia popobawa karudi, nyimbo za rostam, EL, JK na mafisadi hazina mashiko

sick and pathetic journalism at its best
 
Ah
udaku kila gazeti sasa.
Habari hazina mashiko zaidi ya umbeya umbeya tu.

Tanzania kuwa waandishi wachache sana wanaotimiza majukumu yao kufuatana na taaluma yao.
 
Ah
udaku kila gazeti sasa.
Habari hazina mashiko zaidi ya umbeya umbeya tu.

Tanzania kuwa waandishi wachache sana wanaotimiza majukumu yao kufuatana na taaluma yao.

ni kweli, tangu tuanze hivi vyo vyetu vya academia na walimu walimu wasiokuwa makini na kazi ni shida tupu!!! tunaishia kuona picha zao wanagraduate open, schuo cha uandishi nk.

Hii taaluma inashuka vibaya, enzi zile za uhuru na mzalendo zimekwisha kupo kwenye the sun na other junks
 
Mama
hao ndo walivyo na sihapa kwetu TZ, popote pale duniani. Ila najua waliweka alama za kuuliza katika hiyo habari.

semenya sina uhakika kama wameweka hizo ???
naomba ufatilie unipe update
 
wamegundua kikwete hauzi magazeti sasa wanauza kupitia zitto, tukimaliza hapo utasikia popobawa karudi, nyimbo za rostam, EL, JK na mafisadi hazina mashiko

sick and pathetic journalism at its best

hahah sasa wakiandika kikwete alikuwa anabembea china sijui hawauzi magazeti??
Cha msingi watupe habari zinazoeleweka wafatilie kwa umakini hata wanapoamua kuileta kwa jamii wawe na uhakika wa kile wanachoandika !
 
Binafsi sioni tatizo na headings hizo kwani kama kuna anyehisi kaandikwa vibaya si akashitaki?
 
hivi Fisr lady, naomba nijibu. Upo kama hiyo picha yako inavyoonekana au?
 
hivi Fisr lady, naomba nijibu. Upo kama hiyo picha yako inavyoonekana au?

Weeeee...Weeeeeeee...Weeee!!!!!!!!!

Achakabisa hii mambo!

Angekuwa hivyo unadhani huyu nanihiino wa humu JF angemruhusu hata kutoka nje ya geti la nyumba yao?...Subutuuuu!..Ni wa kawaida tu!
 
Weeeee...Weeeeeeee...Weeee!!!!!!!!!

Achakabisa hii mambo!

Angekuwa hivyo unadhani huyu nanihiino wa humu JF angemruhusu hata kutoka nje ya geti la nyumba yao?...Subutuuuu!..Ni wa kawaida tu!

na hii nayo ni headline ya magazeti??
 
Basi me viungo vyanilegea kwelikweli nikiona tu post yake.lol.
 
Binafsi sioni tatizo na headings hizo kwani kama kuna anyehisi kaandikwa vibaya si akashitaki?

are u serious? unajua ni kw namna gani huwa wanaathiri mtu, familia, kampuni n.k? are you in your sense? c'mon au kwa sababu katolewa mifano Zitto> great thinker wetu vipi? to remedy those issues is not easy mahakama huwa haileti ufumbuzi kwa wanandoa..... partner akishaloose trust

mwandishi nini wewe?
 
Biashara matangazo mama...vinginevyo itadoda...akili kichwani ndio maana haka kasehemu kanaitwa Bongo katika ramani ya dunia..lazima utumie akili...
 
Leo nilikuwa nasikiliza habari katika magazeti vichwa vya habari vilivyowekwa kwenye magazeti haya nimejikuta katika mshangao sana
Hivi huwa mnafatilia habari kwa kina kabla ya kuzitoa hewani

Majira -Zitto kujiondoa Chadema
Habari leo ..Zitto kufukuzwa Chadema

Kipi ni kipi hapo ???

Yaani, ni wewe ninayekujua unayeweza kusikiliza habari katika magazeti!😱
HALOOO!!!

'kina' hakina habari, "heading"?
my cranium!
 
Back
Top Bottom