FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,789
- 5,401
Leo nilikuwa nasikiliza habari katika magazeti vichwa vya habari vilivyowekwa kwenye magazeti haya nimejikuta katika mshangao sana
Hivi huwa mnafatilia habari kwa kina kabla ya kuzitoa hewani
Majira -Zitto kujiondoa Chadema
Habari leo ..Zitto kufukuzwa Chadema
Kipi ni kipi hapo ???
Ah
udaku kila gazeti sasa.
Habari hazina mashiko zaidi ya umbeya umbeya tu.
Tanzania kuwa waandishi wachache sana wanaotimiza majukumu yao kufuatana na taaluma yao.
Mama
hao ndo walivyo na sihapa kwetu TZ, popote pale duniani. Ila najua waliweka alama za kuuliza katika hiyo habari.
wamegundua kikwete hauzi magazeti sasa wanauza kupitia zitto, tukimaliza hapo utasikia popobawa karudi, nyimbo za rostam, EL, JK na mafisadi hazina mashiko
sick and pathetic journalism at its best
hivi Fisr lady, naomba nijibu. Upo kama hiyo picha yako inavyoonekana au?
hivi Fisr lady, naomba nijibu. Upo kama hiyo picha yako inavyoonekana au?
Weeeee...Weeeeeeee...Weeee!!!!!!!!!
Achakabisa hii mambo!
Angekuwa hivyo unadhani huyu nanihiino wa humu JF angemruhusu hata kutoka nje ya geti la nyumba yao?...Subutuuuu!..Ni wa kawaida tu!
Binafsi sioni tatizo na headings hizo kwani kama kuna anyehisi kaandikwa vibaya si akashitaki?
Ukimaliza kulegea na ushindwe kabisaBasi me viungo vyanilegea kwelikweli nikiona tu post yake.lol.