Kaa la Moto
JF-Expert Member
- Apr 24, 2008
- 7,904
- 1,064
Yoyo waweza kulifanya hili wewe? hapo ni mbali? nambie umbali huo umekujaje? je waweza kutoka nyumbani bila kujiweka sawa wende kufanya hilo kwenye public eyes?wewe jamaa umekwenda mbaaaali.....kosa liko wapi?
Hapo inavyoonekana alikuwa anafunga mkanda labda suruali yake ililegee......ulitaka afanye nini?
si unaona kayoka nje kidogo na kuja kujisetiri pembeni kidogo......
mkuu mpaka kufika hapo nia uhakika suruali yake ilikuwa vema.....kuna uwezekano zipu ilileta tatizo au mkanda........si vizuri kumhukumu kwa kujisetiri.....Yoyo waweza kulifanya hili wewe? hapo ni mbali? nambie umbali huo umekujaje? je waweza kutoka nyumbani bila kujiweka sawa wende kufanya hilo kwenye public eyes?
Jamani waandishi wa habari inatakiwa muwe makini kidogo maana nyinyi ni kioo cha jamii. Kuna huyu mwandishi wa habari Anaitwa Audax Mtiganzi alifanya kituko hiki wakati akiwa katika msafara wa waziri wa maji ambaye alikwenda kutembelea mkoa wa Kagera na akiwa katika msafara alivua nguo kama anavyoonekana katika picha hii. Hiki si kitendo cha kiungwana hasa ikichukuliwa kwamba msafara kama huo huwa na watu wa heshima.
View attachment 3714
Kaka, alivua nguo au alipandisha fulana?! Hii picha si makosa hata kuangaliwa na watoto.
Na ni nani hao ambao si watu wa heshima?
Neemah nimekuelewa na nimeliacha suala hili tayari maana wengi wamechangia kuwa hakukosea nami naungana nao. Ila mimi ni dada si Kaka Asante.
Im off siwezi kuchangia TOPIC kama hii hata siku moja kosa hapo liko wapi??Unaweza kueleza kwa kirfu zaidi makosa gani kafanya huyo jamaa??Maana suruali imekaa vibaya ikabidi acheck mkanda wake aurekebishe sasa ulitaka nguo imvuke abaki uchi??Acha mambo ya kiswahili mkuu lete mada zenye maana tujadili!!
DADA HERI UMEKUBARI.Otherwise nakuona wewe fisadi na sio mchukia fisadi.Maana Tanzania adui namba moja wa mwandishi wa habari ni fisadi!...Neemah nimekuelewa na nimeliacha suala hili tayari maana wengi wamechangia kuwa hakukosea nami naungana nao. Ila mimi ni dada si Kaka Asante.