Ki Mun
JF-Expert Member
- Oct 6, 2014
- 3,442
- 4,388
Sasa hivi kuna wanataaluma wabovu mno karibu katika kila fani:
Waalimu wabovu
Madaktari wabovu
Wahasibu wabovu
Watafiti wabovu
Na komesha ni waandishi wa habari - hawa ndo naona hata shule hawajaenda maana hapa katika mji ninaoishi kuna reporter wa kituo kimoja cha TV ambae sote tunajua kuwa hajawahi kukanyaga shule,kisa tu alikuwa ni mpiga picha hapa mjini basi jamaa wamemchukua anawapigia picha na sasa ni reporter
Mfano sasa nimekaa naangalia Clouds TV kuna mkanda wa maneno unapita chini ya screen unasomeka hivi " KUFUATIA UVUMI KUHUSU UWEPO WA MTU ALIYEFARIKI KWA UGONJWA WA EBOLA HAPA NCHINI SERIKALI YAKANUSHA UWEPO WA UGONJWA WA EBOLA HAPA NCHINI TANZANIA"
Khaa,sasa nimekereka sana,kiswahili gani hiki kibovu hivi?Si wangeweza tu kuandika SERIKALI YAKANUSHA KUWA HAKUNA UGONJWA WA EBOLA NCHINI"?????