Waandishi wa habari wa Tanzania nao



In the land of the blind, the one eyed is king. Wasomi wetu ingawa unadai wamesomea katika mfumo wa "kukariri", lakini wengi wamepata bahati ya kusomea nje na kuona wenzetu wanavyofanya kazi. Huwezi kusema hawajui chochote kuhusu umuhimu wa biographies/ critical analysis za nchi inavyoendeshwa, huwezi kusema hawajui, sema labda hawaoni kama priority au wanaogopa.
 
Viongozi wetu wengi ni wasiri, maisha yao ni ya kisirisiri. Tunaona kila mara mtu akiwafuata kuwauliza mambo ya kawaida tu inakuwa ngoma, sijui kama waandishi wetu hawa wanaweza kweli kuifanya kazi hii unayoitamani
 
Viongozi wetu wengi ni wasiri, maisha yao ni ya kisirisiri. Tunaona kila mara mtu akiwafuata kuwauliza mambo ya kawaida tu inakuwa ngoma, sijui kama waandishi wetu hawa wanaweza kweli kuifanya kazi hii unayoitamani


Yeah man,

Na usiri huu unatokana na uovu. Kiongozi kama hana maovu atataka kuonyesha mema yake hadharani, ukiona kiongozi hapendi waandishi proper (ukiacha makajanja) mara nyingi ni kwa sababu ya kuficha maovu.
 

Nilipoona mada nilidhani unazungumzia waandishi wenye taaluma ya uandishi wa habari.Sidhani kama kuandika biography ya mtu kunahitaji taaluma hiyo ingawa kuwa na taaluma hiyo kunaweza kurahisisha uandishi ya historia ya maisha ya mtu flani.

Hudhani kwamba badala ya kulaumu waandishi ingekuwa vema kwa wewe kuonyesha mfano kwa kuanza jitihada za kukusanya habari za moja ya watu uliowataja katika orodha hiyo na kisha kutengeneza historia ya maisha yake?

Pengine ni vizuri kukumbushana kwamba badala ya kuhoji kwanini flani hajafanya hiki tujiangalie nasi wenyewe tumeshafanya nini katika hicho tunachohoji.
 

ni kweli but...
Wao kama waandishi wa habari wana access kubwa zaidi
 

Brilliant idea... hata wafanyabiashara wetu mbona vitabu hakuna.. Mengi etc..vingeweza kutumika kuinspire future generation. Waandishi kazi hiyo
 

Yeah this makes alot of sense upande wangu, ni kweli nimechunguza hata mimi na sababu zako za wasomi wa UDSM nilikua sielewi sasa nimekupata.

Unajua nina watu ambao tulikua tunasaidiana mawazo kwenye essays ambao walikua other parts of the world. Unakuta mtu anakutumia kazi hui some unaona duu! yaani unaishia kumuandikia wewe upya. Yes wanajua kukusanya material lakini kujibu swali kwa point inakua tabu sana.

Inaonekana huko maswali labda yanajirudia si ajabu intresting ya kusoma kunakuwa amna. Unajua hata huku si wote wasomaji lakini ni descipline ambayo wazazi wanai anzisha kwa kuwasomea watoto kabla ya kulala na kuwaacha wenyewe wajiendeleze nazo mara tu wanapoanza kujua kusoma.

Isitoshe si ajabu kijana anaekuja kutoka Africa mara nyingi chini ya miaka 14 huwa wanatesa lakini anaekuja 15 au sixteen yrs age. Miaka ambayo wao wanakaribia kufanya mitihani ya form four mara nyingi huu struggle kutokana na hapa primitive research zinahitajika elimu huku si kukariri bali umeelewa vipi. by the time wapo A level kusoma vitabu inakua wajibu ili kuweza kujibu. Na university hiyo degree ni kama unajisomesha mwenyewe ni research ambazo inabidi usome. Si wengi umaliza na First wala second asilimia kubwa ni third class katika vyuo visivyo na majina. Ndio maana nimekupata wengi ushindwa kujibu maswali ya essay kama lilivyouliza.
 
Uandishi wa habari ni fani na uandishi wa vitabu ni fani, sio haki kuwashutumu watu wa fani moja kutovamia nyingine.

Mbona hushangai tangu tumepata uhuru tumetengeneza wasomi kibao wa fani zote. Mpaka leo sayansi bado tunakumbatia Abott na Lambert. Fasihi ni kina Chinua Achebe Ngungi wa Thion'go etc hao wasomi wetu wako wapi?.
Kwa taarifa tuu hata historia kubwa ya Tanzania ni kazi za wazungu. Alipewa tenda ya kuandika historia ya Tanu mpaka CCM alipewa Mmalawi Kanyama Chiume, hao wasomi wetu wa wapi?.

Tusilaumu bure waandishi, nenda maktaba za UDSM, utashangaa makabrasha ya manuscript ya kazi za kitaaluma ambazo zimeishia kwenye shelf kisa hakuna publisher.
Ukiwauliza publishers kama DUP au kina Mkuki na Nyota kwa nini hawapublish watakuambia Watanzania hawana utamaduni wa kujisomea.

Huwezi amini gazeti la Mwananchi ndilo daiy linaloongoza kwa circulation lakini halifui dafu kwa magazeti ya udaku, sasa hizi biograph unazotaka ziandikwe atasoma nani?.
 

hata kama leo hakuna wasomaji,faida ya vitabu ni kwa vizazi na vizazi.....
Tusitazame leo tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…