Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
Vyombo vya habari vimeposti kwa wingi habari ya tuzo za wasanii kuliko kujadili habari za ndugu zao waliokamatwa.
Je, vyombo hivi vinahitaji nani aje kuwasemea? Kama wao wenyewe wanashindwa kujisemea, nani atatetea haki na maslahi yao?
Ni kweli kwamba wanaridhika na mapato yao wanayopata kupitia bahasha za Kaki?