Waandishi wa habari wanadaiwa kukamatwa Mbeya, vyombo vya habari kimya

Resilience

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2023
Posts
1,096
Reaction score
4,948
Vyombo vya habari vimeposti kwa wingi habari ya tuzo za wasanii kuliko kujadili habari za ndugu zao waliokamatwa.

Je, vyombo hivi vinahitaji nani aje kuwasemea? Kama wao wenyewe wanashindwa kujisemea, nani atatetea haki na maslahi yao?

Ni kweli kwamba wanaridhika na mapato yao wanayopata kupitia bahasha za Kaki?
 
Hawapo huru wakifika maofisini cha kwanza ni kusaini mahudhurio ajili ya posho
 
Mitandao ya kijamii tu ndio imekuwa mkombozi wetu, kutegemea vyombo vya habari vya humu ndani kupata habari hasi kwa serekali ni jambo lisilowezekana.
 
Acha media hizi tktk ziendelee tu kuwalisha wabongo tktk vichwani mwao,mfumo si unapenda

Ova
 
huenda hawana,
wala hawakua na uthibitisho au utambulisho wowote wa uandishi habari wao, na hata kuwia vigumu kwa wanahabari wenzoa kuthibitisha na kuripoti kwenye platfoms mbalimbali, kwamba wana habari wenzao wametiwa nguvuni wakiwa wanatekeleza majukumu yao tena wakiwa na utambilisho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…