Hiyo ni dharau, kiburi na ujuaji. Kama kusingekuwa na tatizo angetoa ushirikiano, ukiona hivyo, fahamu kuwa Kuna madudu anajua akiongea hili ataulizwa lile mpaka aingie kwenye 18 ndio maana anaulizwa anabaki kuvimbisha mashavu na kukodoa mimacho tu!!!