Tatizo la soka Tanzania na Afrika mashariki kuporomoka linatokana na TFF na SECAFA,hii inatokana na kulenga kwenye mapato zaidi kuliko kukuza mpira.Tuliona kagame timu moja ikipelekwa fainali kwa nguvu ili icheze na mtani,unajua kwa nini?mapato na si mpira:Isije ukashangaa TZ ikabebwa ili iendelee kutunisha mfuko wa TFF wakati mpira hatuna.Hivi unajua kuwa Tenga anamwogopa Wambura unajua ni kwanini?kuna jambo kubwa sana limejificha pale TFF,waandishi tafuteni data sio kila siku Simba na Yanga.