yahoo
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 3,526
- 1,409
HNdugu waandishi wamepotosha sana kuhusu goli la yanga,nimeangalia mechi kupitia super sport ,donald ngoma alikuwa anatoa cross kwa msuva mbali kabisa ya goli ndipo beki wa timu pinzani alipou_reflect mpila kimakosa na kusababisha kuelekea golini kwao na kumfunga kipa wao,kwa hiyo lile ni goli la kujifunga(own goal).......pia kadi nyekundu aliyoipata ni kwa kumsukuma beki wa gormahia akiwa hana mpira na sio kumpiga ngumi...
Rai yangu kwa ndugu waandishi na watangazaju wa bongo muwe mnarepoti ukweli wa kile kilichotokea uwanjani..nchi za wenzetu waandishi wanalipa viingilio nyie mnaingia bure alafu mnatoa taarifa fake ...ni mimi shabiki wa yanga nisiyetaka kudanhanywa