Waandishi&Watangazaji wa Habari&Katuni

Malick M. Malick

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2013
Posts
658
Reaction score
312
Hawa ni waandishi ambao wamenifanya niweze kuwa napenda kusoma makala kutokana na ujasiri wao wa kiuandishi katika jamii mungu awape maisha marefu na yenye afya
1.Jenarali Ulimwengu
2.Lula wandali Mwananzela
3.Johnson Mbwambo
4.Joseph Mihangwa
5.Saed Kubenea
7.Ayoub Rioba
8.Mimi Mwanakijiji
9.Ndimara Tegambwage
10.Mwanangurumbi
*Watangazaji
1.Mzee Makwaiya(je tutafika-chanel ten)
2.Hamza Kasongo
3.Salim Kikenke
4.Othman Miraji
*Wachora Katuni
1.Masoud Kipanya
2.Chriss Katembo
#Napenda ufanyaji wao wa kazi wanapoandika bila kuvutwa na Itikadi zao za kisiasa na kidini navutiwa na ujasiri wao katika uandishi na amini vijana wengi wa sasa tunachakujifunza
""VV"""""
 
Mihangwa amesaidia sana kutanua akili yangu ila naona umemsahau Paschally mayega.
 
Kipanya......
Charls Hilary
Julius Nyaisanga
Gadner
Misanya Bingi
 
Lula wa Ndali mwananzela namkubali sana huyu mwandishi natamani kukutana nae
"Vox populi vox dei"
 


Naona unarudiarudia watu..
 
1.Kibonde
2.Adam mchomvu
3.B12
4.Ncha kali
5.hando
6.zamaradi
7.diva
8.....
9.ruge
 
Mimi Pasco wa JF pamoja Pasco Mayala wa PPR
 

Salim kikenke wa wapi huyo?
 
We jamaa ni waajabu sana humjui salim kikenke? Fuatilia Bbc swahili
 
Zakaria Mtigandi

Baraka Tuzi la Msomi

Shangwe Thani
 
kwangu hawa waliniongezea sana ufahamu
1: Nswima Ernest -Rukwa
2: Abisay Steven -Radio Tanzania Mbeya
3. Tumbo Tamin Risasi- Radio Tanzania Tabora
4. Bati Komwa Arusha
5
 
kwangu hawa waliniongezea sana ufahamu
1: Nswima Ernest -Rukwa
2: Abisay Steven -Radio Tanzania Mbeya
3. Tumbo Tamin Risasi- Radio Tanzania Tabora
4. Bati Komwa Arusha
5

Masoud masoud na kibonde ni mweledi akiacha siasa

Sent from my BlackBerry 9700 using Jamii Forums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…