Kamanda Asiyechoka JF-Expert Member Joined Sep 13, 2020 Posts 3,315 Reaction score 5,058 Aug 11, 2024 #1 Jeshi la Polisi mkoani Mbeya linawashikilia waandishi wa habari wa kituo chetu cha Jambo Tv Ramadhan Khamis na Fadhil Kirundwa jijini Mbeya wakiwa katika utekelezaji wa majukumu yao ya kitaaluma katika ofisi za CHADEMA kanda ya Nyasa. Pia soma: Kuelekea 2025 - Msajili apiga Marufuku Kongamano la CHADEMA mkoani Mbeya, asema matamko yao yanahusisha vitendo vya uvunjifu wa amani Kuelekea 2025 - Jeshi la Polisi lapiga marufuku mkutano wa BAVICHA siku ya vijana duniani
Jeshi la Polisi mkoani Mbeya linawashikilia waandishi wa habari wa kituo chetu cha Jambo Tv Ramadhan Khamis na Fadhil Kirundwa jijini Mbeya wakiwa katika utekelezaji wa majukumu yao ya kitaaluma katika ofisi za CHADEMA kanda ya Nyasa. Pia soma: Kuelekea 2025 - Msajili apiga Marufuku Kongamano la CHADEMA mkoani Mbeya, asema matamko yao yanahusisha vitendo vya uvunjifu wa amani Kuelekea 2025 - Jeshi la Polisi lapiga marufuku mkutano wa BAVICHA siku ya vijana duniani
Escrowseal1 JF-Expert Member Joined Dec 17, 2014 Posts 4,618 Reaction score 4,605 Aug 11, 2024 #2 Ccm waache tu nchi imewashinda
Carasco Putin JF-Expert Member Joined Apr 23, 2022 Posts 10,644 Reaction score 32,375 Aug 11, 2024 #3 Iraq sasa tupo dahh
Escrowseal1 JF-Expert Member Joined Dec 17, 2014 Posts 4,618 Reaction score 4,605 Aug 11, 2024 #4 Tupo na jambo TV . Mhabarishaji pekee alieepuka uchaww
J johnthebaptist JF-Expert Member Joined May 27, 2014 Posts 97,869 Reaction score 171,716 Aug 11, 2024 #5 Mbuyu ulianza kama mchicha 🐼
Kamanda Asiyechoka JF-Expert Member Joined Sep 13, 2020 Posts 3,315 Reaction score 5,058 Aug 11, 2024 Thread starter #6 johnthebaptist said: Mbuyu ulianza kama mchicha 🐼 Click to expand... Toka hapa wewe chawa wa CCM
Tindo JF-Expert Member Joined Sep 28, 2011 Posts 63,730 Reaction score 111,542 Aug 11, 2024 #7 Kamanda Asiyechoka said: Toka hapa wewe chawa wa CCM Click to expand... Chawa wa ccm naona mnabadilikiana. Haya ni mambo ya migambo kuruka na kukanyagana.
Kamanda Asiyechoka said: Toka hapa wewe chawa wa CCM Click to expand... Chawa wa ccm naona mnabadilikiana. Haya ni mambo ya migambo kuruka na kukanyagana.
Kennedy JF-Expert Member Joined Dec 28, 2011 Posts 54,894 Reaction score 64,043 Aug 11, 2024 #8 johnthebaptist said: Mbuyu ulianza kama mchicha 🐼 Click to expand... Haa Chawa Wa Lumumba FC
Kamanda Asiyechoka JF-Expert Member Joined Sep 13, 2020 Posts 3,315 Reaction score 5,058 Aug 11, 2024 Thread starter #9 Tindo said: Chawa wa ccm naona mnabadilikiana. Haya ni mambo ya migambo kuruka na kukanyagana. Click to expand... Acha upuuzi. Kaa kimya acha upuuzi
Tindo said: Chawa wa ccm naona mnabadilikiana. Haya ni mambo ya migambo kuruka na kukanyagana. Click to expand... Acha upuuzi. Kaa kimya acha upuuzi
Tindo JF-Expert Member Joined Sep 28, 2011 Posts 63,730 Reaction score 111,542 Aug 11, 2024 #10 Kamanda Asiyechoka said: Acha upuuzi. Kaa kimya acha upuuzi Click to expand... Hamna cdm mduwanzi wa aina yako.
Kamanda Asiyechoka said: Acha upuuzi. Kaa kimya acha upuuzi Click to expand... Hamna cdm mduwanzi wa aina yako.