LGE2024 Waangalizi Uchaguzi TPCF: Sheria na Kanuni zilizingatiwa kipindi chote cha Uchaguzi Serikali za Mitaa

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Cute Wife

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2023
Posts
1,906
Reaction score
5,000
Wakuu,

Vibaraka wa kuonesha justification ya udhalimu umefanyika wanaendelea na kazi yao. Watu watatu chama kimoja wamepoteza maisha afu mnajifanya vipofu mambo yalikuwa shwari?

=====

Kupata taarifa na matukio ya kimkoa kuhusu Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Mkurugenzi wa Shirika la Tanzania Pastoralist Community Forum (TPCF) Joseph Palisambei amesema Shirika hilo lilipewa kibali cha kufuatilia mwenendo wa Uchaguzi, ambapo wamebaini kuwa kanuni na Sheria zilizingatiwa kuanzia mwanzo hadi mwisho wa mchakato huo.
 
Chàmà kilishajifia, endeleeni kujiita chàma kikuu çhà upinzani.
 
Hakuna udhalimu uliofanyika chadema hakujipanga ila mmeokotana tu na kugombea
 
Ni kweli, na wale viongozi CHADEMA watatu waliokufa walijiua, kule ambako karatasi zilichelewa mpaka wakapiga kura kwa karatasi za kawaida nako ni sababu ya CHADEMA, ACT na wengine, mabox ya kura feki nako ni ACT, CHADEMA na wengine... etc
 
Wakuu,

Vibaraka wa kuonesha justification ya udhalimu umefanyika wanaendelea na kazi yao. Watu watatu chama kimoja wamepoteza maisha afu mnajifanya vipofu mambo yalikuwa shwari?

=====

View attachment 3164767

Mkurugenzi wa Shirika la Tanzania Pastoralist Community Forum (TPCF) Joseph Palisambei amesema Shirika hilo lilipewa kibali cha kufuatilia mwenendo wa Uchaguzi, ambapo wamebaini kuwa kanuni na Sheria zilizingatiwa kuanzia mwanzo hadi mwisho wa mchakato huo.
Huwa ipo mifumo ya chawa na uchawa ila ni hadi pale utakapobahatisa kuijua.
 
Wakuu,

Vibaraka wa kuonesha justification ya udhalimu umefanyika wanaendelea na kazi yao. Watu watatu chama kimoja wamepoteza maisha afu mnajifanya vipofu mambo yalikuwa shwari?

=====

View attachment 3164767

Mkurugenzi wa Shirika la Tanzania Pastoralist Community Forum (TPCF) Joseph Palisambei amesema Shirika hilo lilipewa kibali cha kufuatilia mwenendo wa Uchaguzi, ambapo wamebaini kuwa kanuni na Sheria zilizingatiwa kuanzia mwanzo hadi mwisho wa mchakato huo.
Mtu anaongoza ng'ombe, mbuzi na kondoo, huyo ni wa kumpuuza tu hana akili ya kibinaadam.
 
Back
Top Bottom