Wanajanvi naleta Mada hii mnisaidie niweze kuelewa hili! Hivi Marekani na Uengereza zinapofanya chaguzi zao kwanini haziombi kupelekewa waangalizi wa kimataifa kutoka kama Africa au Asia! Lakini sisi tunapofanya chaguzi zetu hututaka tualike waangalizi kutoka kwao hii inakaaje?
Tanzania haina uwezo wa kufanya Uchaguzi kwa bajeti yake yenyewe so as nchi almost nyingi za Kiafrica, kama uchaguzi uliopita kila kitu kilikuwa ni msaada, kwa maana nyingine anaekuwezesha anaamua anachotaka