unajua ukipewa nafasi kama izo unatakiwa ukienda ukaongee kiingereza? tena fasaha watu wakielewe?Ahaha si afadhali mwinyi yaan magufuli ndo haji kupewa chchte na ambavo ajui maswala ya kidiplomasia anajidai ataki safari
Sent using Jamii Forums mobile app
wenyewe wameingia kwa kuiba nani atawateuaKwa nini Marais wastaafu wa Tanzania huwa hawapewi hizi kazi za usimamizi za Jumuiya ya Madola................!!?
Sikumbuki kumsikia Kikwete, Mkapa wala Mzee Mwinyi!!
Kaibiwa na kivuli chake mwenyewe! Mnyukano kati ya mzee na kijana hauhitaji kuwa nabii kujua Nani ataangukia pua! Ni muda muafaka was Raila kukaa pembeni kwa heshima! Vinginevyo ni aibu!RAILA kaibiwa tena?
Wengi walitarajia mabaya! Ni aibu yao hasa wazungu!Kitendo cha watu wanaoheshimika sana duniani kuwa waangalizi wa uchaguzi wa Kenya maana yake nini ?
Hahaahahah Daudi Albert Bashite[emoji1] [emoji1] [emoji1]Bora Kikwete ana utu kidogo ila Mkapa ni sawa na DAB, Mwinyi nae hajielewi mimi sijui hata urais aliupataje
Sent using Jamii Forums mobile app
Eish ,kwani uchaguzi wa Tz mwaka wa 2015 haukuwa na waangalizi muhimu kama hawa?Kitendo cha watu wanaoheshimika sana duniani kuwa waangalizi wa uchaguzi wa Kenya maana yake nini ?
hao ni mabingwa wa kubadili matokeo kamwe hawawezi kuaminikaKwa nini Marais wastaafu wa Tanzania huwa hawapewi hizi kazi za usimamizi za Jumuiya ya Madola................!!?
Sikumbuki kumsikia Kikwete, Mkapa wala Mzee Mwinyi!!