tunaitaji figure jameni siamini mtu hapa
na NEC kwa hali hii ya nchi-matokeo lazima watoe sababu zenye akili kwanini walichelewesha kutoa majibu??
maana tofauti za kura ni kubwa mnooooo
pili wanainchi wenzangu kura za Urais ndizo zinachakachuliwa kishenzy yani,
ss utashangaa eti JK kashinda hapo kwa 80%?
JK ana la kujibu nyie ngojeni its a matter of time