Waarabu koko wa bongo

Waarabu koko wa bongo

Emar

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2018
Posts
1,789
Reaction score
2,965
Habari wana jukwaa,

Kwanza kabisa ningependa kutoa shukrani zangu za dhati kwa timu yetu ya taifa kwa kipigo kizito walichotoa jana.

Nahisi Guinea hawatasahau ukizingatia goli la mwamba wa Azam S.boy katika dakika za mwisho lilikuwa na raha yake bwana au sio, goli la dakika za mwisho tamu balaa nahisi nchi Ilisimama. Pia chungu mno kwa wapinzani.

Pili tumshukuru Mwalimu Etiene kwa alichofanya jana naweza Mwita Hadiola wa bongo. Kama ulishuhudia K. Yondani akitokea pembeni na kucheza kama winga wa kulia huku nyoni akicheza no. 6 na 5. Pili yule beki wa costal alicheza vizuri mno.

Pamoja na hayo tujishukuru waarabu wa bongo (mashabiki wa Taifa stars), kwa figisu safi tuliyoionesha in case tunastahili zawadi.

Kama uliona kipa wa Guinea akipigwa tochi hii ilimtoa kwenye moods na kumkasirisha sana. Ikasababisha akafungwa. Hii imekaa poa kutokana na nchi za wenzetu especially waarabu vitu kama hivi ni kawaida.

- Wanaweza kuwazungusha jiji zima eti ndo njia ya kwenda uwanjani

- Kuwapiga chupa

- Figisu za mahotelini

- Kujiangusha nk. sasa kwanini na sisi tusizifanye?

Hivyo kwanzia jana tumepata ya kuitwa waarabu wa bongo.
 
Tuwawekee mamovie ya kina Mia Khalifa na Bella Bellz kwenye hotel rooms zao, Wakeshe wanachek na kupiga puli.
 
Tuwawekee mamovie ya kina Mia Khalifa na Bella Bellz kwenye hotel rooms zao, Wakeshe wanachek na kupiga puli.
Wakose nguvu siyo[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28].wazo zur
 
Mkiitwa nyani mnakasirika ila mnaona sawa kuwaita Wengine majina mabaya.

Narudia tena, kama Afrika ingekuwa na uchumi wa China au Marekani basi tunheshuhudia ubaguzi ambao haujawahi kutokea ndani kuumbwa kwa dunia.
 
Wewe mzungu ? sasa Mbona unatubagua na kutuita nyani ?
Basi ww mbaguz namba 1
 
Back
Top Bottom