Waasi Mashariki Mwa UKRAINE Wafanya Uchaguzi

FRANC THE GREAT

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2016
Posts
5,500
Reaction score
8,060
Wapiga kura wanachagua viongozi wa majimbo mawili yaliyojitenga na Ukraine ya Lugansk na Donetsk katika uchaguzi unaoungwa mkono na Urusi na kupingwa na nchi za Magharibi.

46244408_509.jpg

Waasi waliojitenga Mashariki mwa Ukraine wanaoungwa mkono na Urusi wamefanya uchaguzi baada ya kuuliwa kiongozi wa juu wa waasi,licha ya nchi za Magharibi kuitolea mwito Urusi kutoyahujumu mazungumzo ya amani.

Marekani na Umoja wa Ulaya mjini Brussels zinasema uchaguzi huo katika majimbo mawili ya Donetsk na Lugansk yaliyoko Mashariki mwa Ukraine utazidi kuzikwamisha juhudi za kuumaliza mgogoro ambao umeshawauwa zaidi ya watu 10,000 tangu mwaka 2014.

Mkuu wa sera za nje wa Umoja wa Ulaya Federica Mogheini amesema siku ya Jumamosi kwamba kwa jicho la Umoja wa Ulaya uchaguzi huo sio halali na hautambuliwi. Mjumbe maalum wa Marekani nchini Ukraine,Kurt Volker amesema uchaguzi huo ni kichekesho na wanaitolea mwito Urusi kuuzuia usiendelee.

Mjumbe huyo wa Marekani ameongeza pia kusema kwamba uchaguzi huo unakwenda kinume na makubaliano ya amani yaliyosimamiwa na nchi za Magharibi.

Serikali ya Urusi mjini Moscow imeipuuza miito iliyotolewa ikisema uchaguzi huo hauhusiki chochote na makubaliano ya amani.Urusi inasema uchaguzi huo ni muhimu ili kujaza pengo la madaraka baada ya kuuwawa kiongozi wa Jamhuri ya jimbo la Donestk Alexander Zakharchenko. Kiongozi huyo aliuwawa katika shambulizi la bomu kwenye mgahawa mnamo mwezi Agosti.

Msemaji wa wizara ya mambo ya nje ya Urusi Maria Zakharova amesema na hapa tunanukuu,'' Watu wanahitaji kuishi,kuendelea na shughuli zao za maisha na kuhakikisha kuna sheria katika jimbo ambalo linakabiliwa na vizuizi pamoja na vitisho vya matumizi ya nguvu ya watawala wa Ukraine.

46104160_509.jpg

Mwaka 2014 Urusi ililichukua kwa nguvu jimbo la Crimea na kuunga mkono uasi uliozuka Mashariki mwa Ukraine katika kile ambacho serikali ya Ukraine mjini Kiev inakiona kama hatua ya kuiadhibu kutokana na msimamo wake wa kuelemea nchi za Magharibi.

Licha ya vita vikali kumalizika migogoro inayoendelea mara kwa mara kwenye eneo hilo imegharimu maisha ya wanajeshi na raia. Hata hivyo mazungumzo ya kutafuta amani yamekwama ma mikataba ya amani iliyosimamiwa na nchi za Magharibi na kufikiwa mwaka 2015 imeshindwa kwa kiasi kikubwa.

Baada ya kuuliwa Zakharchenko,Denis Pushilin mwenye umri wa miaka 37 aliyekuwa msimamizi wa mradi mchafu wa Urusi wa wizi wa wawekezaji ndiye aliyekaimu wadhifa wa uongozi wa Jamhuri ya watu wa Donetsk na anatarajiwa kushinda katika uchaguzi unaofanyika. Leonid Pasechnik mkuu wa zamani wa idara ya usalama ya Ukraine na kaimu kiongozi wa jimbo la Lugansk mwenye umri wa miaka 48 naye anatarajiwa kupata ushindi kwenye uchaguzi wa jimbo hilo. Wote wawili wameshaahidi kuwa na ushirikiano mkubwa na Urusi.

Chanzo: DW
 
ukraine walidhani wanapendwa saaana na nato sasa acha yawakute magumu zaidi naona putin anataka kuitudisha soviet kwa nguvu
 
asahau kivip wakati yupo anachukua maeneo ya soviet ya zaman na muhimu kwake
Kuchukuwa Hayo Maeneo Bado Hakumfanyi Kuirudisha USSR. Isitoshe Kama Nilivyosema Zama Zimebadilika. Siku Hizi Influence Ya Mataifa Kama China, Ulaya Na Marekani Yenyewe Ni Kubwa Mno Ukitofautisha Kipindi Kile Cha Vita Baridi.
Kwahiyo Hata Hizo Mbinu Zake Hazitomuwezesha Kuzipiku Hizo Nchi Nyingine Kutokana Na Nguvu Zao Kiuchumi.
 
Wapiga kura wanachagua viongozi wa majimbo mawili yaliyojitenga na Ukraine ya Lugansk na Donetsk katika uchaguzi unaoungwa mkono na Urusi na kupingwa na nchi za Magharibi.

View attachment 930536

Waasi waliojitenga Mashariki mwa Ukraine wanaoungwa mkono na Urusi wamefanya uchaguzi baada ya kuuliwa kiongozi wa juu wa waasi,licha ya nchi za Magharibi kuitolea mwito Urusi kutoyahujumu mazungumzo ya amani.

Marekani na Umoja wa Ulaya mjini Brussels zinasema uchaguzi huo katika majimbo mawili ya Donetsk na Lugansk yaliyoko Mashariki mwa Ukraine utazidi kuzikwamisha juhudi za kuumaliza mgogoro ambao umeshawauwa zaidi ya watu 10,000 tangu mwaka 2014.

Mkuu wa sera za nje wa Umoja wa Ulaya Federica Mogheini amesema siku ya Jumamosi kwamba kwa jicho la Umoja wa Ulaya uchaguzi huo sio halali na hautambuliwi. Mjumbe maalum wa Marekani nchini Ukraine,Kurt Volker amesema uchaguzi huo ni kichekesho na wanaitolea mwito Urusi kuuzuia usiendelee.

Mjumbe huyo wa Marekani ameongeza pia kusema kwamba uchaguzi huo unakwenda kinume na makubaliano ya amani yaliyosimamiwa na nchi za Magharibi.

Serikali ya Urusi mjini Moscow imeipuuza miito iliyotolewa ikisema uchaguzi huo hauhusiki chochote na makubaliano ya amani.Urusi inasema uchaguzi huo ni muhimu ili kujaza pengo la madaraka baada ya kuuwawa kiongozi wa Jamhuri ya jimbo la Donestk Alexander Zakharchenko. Kiongozi huyo aliuwawa katika shambulizi la bomu kwenye mgahawa mnamo mwezi Agosti.

Msemaji wa wizara ya mambo ya nje ya Urusi Maria Zakharova amesema na hapa tunanukuu,'' Watu wanahitaji kuishi,kuendelea na shughuli zao za maisha na kuhakikisha kuna sheria katika jimbo ambalo linakabiliwa na vizuizi pamoja na vitisho vya matumizi ya nguvu ya watawala wa Ukraine.

View attachment 930533

Mwaka 2014 Urusi ililichukua kwa nguvu jimbo la Crimea na kuunga mkono uasi uliozuka Mashariki mwa Ukraine katika kile ambacho serikali ya Ukraine mjini Kiev inakiona kama hatua ya kuiadhibu kutokana na msimamo wake wa kuelemea nchi za Magharibi.

Licha ya vita vikali kumalizika migogoro inayoendelea mara kwa mara kwenye eneo hilo imegharimu maisha ya wanajeshi na raia. Hata hivyo mazungumzo ya kutafuta amani yamekwama ma mikataba ya amani iliyosimamiwa na nchi za Magharibi na kufikiwa mwaka 2015 imeshindwa kwa kiasi kikubwa.

Baada ya kuuliwa Zakharchenko,Denis Pushilin mwenye umri wa miaka 37 aliyekuwa msimamizi wa mradi mchafu wa Urusi wa wizi wa wawekezaji ndiye aliyekaimu wadhifa wa uongozi wa Jamhuri ya watu wa Donetsk na anatarajiwa kushinda katika uchaguzi unaofanyika. Leonid Pasechnik mkuu wa zamani wa idara ya usalama ya Ukraine na kaimu kiongozi wa jimbo la Lugansk mwenye umri wa miaka 48 naye anatarajiwa kupata ushindi kwenye uchaguzi wa jimbo hilo. Wote wawili wameshaahidi kuwa na ushirikiano mkubwa na Urusi.

Chanzo: DW
SAfi sana. Mi naona Putin aivamie ukraine maana wanachokocho na kujazwa upepo na wamagharibi
 
Kuchukuwa Hayo Maeneo Bado Hakumfanyi Kuirudisha USSR. Isitoshe Kama Nilivyosema Zama Zimebadilika. Siku Hizi Influence Ya Mataifa Kama China, Ulaya Na Marekani Yenyewe Ni Kubwa Mno Ukitofautisha Kipindi Kile Cha Vita Baridi.
Kwahiyo Hata Hizo Mbinu Zake Hazitomuwezesha Kuzipiku Hizo Nchi Nyingine Kutokana Na Nguvu Zao Kiuchumi.
ulaya siku hizi haina nguvu tena mkuu. Nguvu iko kwa china, Russia na marekani kidogo kwa kulazimisha
 
Anza wewe kudhibisha kuwa ilichukua eneo hilo kwa nguvu.
Jaribu Hata Kugoogle Kidogo Utapata Jibu.
_______________________

After the 2014 Ukrainian revolution and flight of Ukrainian President Viktor Yanukovych from Kiev on 21 February 2014, Russian President, Vladimir Putinstated to colleagues that "we must start working on returning Crimea to Russia."[51] Within days, unmarked forces with local militias took over the Autonomous Republic of Crimea and Sevastopol, as well as occupying several localities inKherson Oblast on the Arabat Spit, which is geographically a part of Crimea. Following a controversial referendum, the official results of which showed majority support for joining Russia, Russian President Vladimir Putin signed a treaty of accession with the self-declared Republic of Crimea, annexing it into the Russian Federationas two federal subjects: the Republic of Crimea and the federal city ofSevastopol. Though Russia had control over the peninsula, sovereignty was disputed as Ukraine and the majority of the international community consider the annexation illegal,[52] as was shown by the United Nations General Assemblyadopting a non-binding resolutioncalling upon states not to recognise changes to the integrity of Ukraine.[53][54]A range of international sanctions.

Source: Wikipedia
 
Crimea haina tofauti na Kinachoendelea lugansk na donesk waasi walijitenga na wakapiga kura ya kujiunga na urusi
So waliamua wenyewe wana Crimea kujiunga na urusi sio urusi alichukua kwa nguvu mkuu
______________________

On 26 February 2014, thousands of pro-Russian and pro-Ukraine protesters clashed in front of the parliament building in Simferopol. Two days later, Russian forces occupied airports and other strategic locations in Crimea[29]which the interim Government of Ukraine described as an invasion and occupation.[30][31] Gunmen, either armed militants or Russian special forces, occupied the Crimean parliament. Under armed guard and with the doors locked, members of parliament reportedly elected Sergey Aksyonov as the new Crimean Prime Minister.[32] The de facto Crimean Prime Minister Sergey Aksyonov said that he asserted sole control over Crimea's security forces and appealed to Russia "for assistance in guaranteeing peace and calmness" on the peninsula. The central Ukrainian government did not recognize the Aksyonov administration and considers it illegal.[33][34] Ousted Ukrainian President Viktor Yanukovich sent a letter to Putin asking him to use military force in Ukraine to restore law and order.[35] The Russian foreign ministry stated that "movement of the Black Sea Fleet armored vehicles in Crimea (...) happens in full accordance with basic Russian-Ukrainian agreements on the Black Sea Fleet".[36]
On 1 March, the Russian parliament granted President Vladimir Putin the authority to use military force in Ukraine.[37] On 4 March several Ukrainian bases and navy ships in Crimea reported being intimidated by Russian forces and Ukrainian warships were also effectively blockaded in Sevastopol.[38][39]
(Wikipedia)
 
Back
Top Bottom