Wakenya hii Vita inawapa tumbo joto,maana baba yao USA akibugi akajiingiza ,halafu Putin akaamua kumpiga na kitu kizito Cha supersonic bomb,wakenya watakufa njaa hakiyanani,maana maisha Yao [emoji817] wanamuangalia marekani
Hivi mbona mnakuwa wajinga kiasi hicho? Hivi unaamini Urusi anaweza akarusha Bomu nchini Marekani kabisa likaua watu na Miji ya Urusi ikabaki Salama? Hata Marekani hawezi kuishambulia Miji ya Urusi moja kwa moja. Tumieni Akili Zenu Kidogo.
Urusi ina Makombora ya Nyuklia zaidi ya 7,500,Kati ya hayo 2,500 yako tayari kurushwa kokote kule Duniani na kufika kwenye Target ndani ya Dakika 30 na kuangamiza kila Kitu,Kama ni Marekani Basi Marekani yote inageuka Majivu.
Vilevile,Marekani ina Makombora ya Nyuklia zaidi ya ya 6,500,Kati ya hayo,1,900 yako tayari kurushwa na kufika kokote kule Duniani ndani ya Dakika 30 na kuangamiza kila Kitu,Kama yataelekea Urusi basi hakutakuwa na Urusi baada ya Nusu Saa.
Sasa tujiulize,Nani Rais wa nchi Kati ya Putin au Biden yuko tayari kuanzia hiyo AFTER MASS?
Vita vya Urusi na Marekani au na China vinabaki kuwa
PROXY WAR. Na kwenye Proxy War tayari Marekani kashamzidi Urusi. Marekani alikubali kushindwa Venezuela ili Kuzuia Vita kwenye Rasi ya Amerika kwasababu ingeliharibu Uchumi wake na hata Usalama japo wengi tukasema eti kaiogopa T-160 ya Urusi. Sasa Urusi yeye kaingia kwenye
DESTABILIZATION STRATEGY Ya Marekani kwa kuanzisha Vita Mlangoni kwake. Kama Ukraine itageuka kuwa Syria au Afghanistan Basi hasara kubwa iko kwa majirani zake,Marekani Yuko mbali Sana.