Waasi wa M23 waanza tena mashambulizi dhidi ya Jeshi la DRC baada ya kusitisha kwa siku mbili

Waasi wa M23 waanza tena mashambulizi dhidi ya Jeshi la DRC baada ya kusitisha kwa siku mbili

Mkalukungone mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
862
Reaction score
1,755
Waasi wa M23 wameanza tena mashambulizi dhidi ya vikosi vya jeshi mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo baada ya mapigano kusimama kwa siku mbili.

Soma Pia: Mamia ya wanajeshi wa Rwanda wanaosaidia waasi wa M23 wadaiwa kuuawa vitani DRC


Mapigano yalianza alfajiri ya Jumanne karibu na kijiji cha Ihusi, kilicho umbali wa kilomita 40 kutoka uwanja wa ndege wa kijeshi wa Kavumu na takriban kilomita 70 kutoka Bukavu, mji mkuu wa jimbo la Kivu Kusini.
===============
The M23 rebels have resumed attacks on armed forces in eastern Democratic Republic of Congo after a two-day lull in fighting.

Rebel fighters struck at dawn on Tuesday near the village of Ihusi, located 40km (25 miles) from a strategic military airport in Kavumu and about 70km (43 miles) from Bukavu, the capital of South Kivu province.

Chanzo: Al Jazeera
 
Back
Top Bottom