Waathirika wa UKIMWI

Waathirika wa UKIMWI

bacha

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2010
Posts
4,282
Reaction score
797
jamani naomba mnisaidie hili dukuduku nililonalo.Je,mtu alie na HIV na ambae anaendelea kumeza dawa (ARVs) anaweza pia akawa anakunywa pombe bila kupata madhara?

tulio wengi tunaelewa kabisa mfano kama mtu unaumwa malaria na uko ndani ya dozi basi hutakiwi kunywa pombe!je, kwa case hiyo ya muathirika wa ukimwi inakuwaje?
 
huyo ni kama wagonjwa wengine kwa hiyo kiafya unashauriwa kutojihusisha kabisa na ulevi..........
 
Hawashauriwi kunywa pombe lakini sababu kubwa ni interaction na mtu kukosa dawa

Hivyo wengine hawawezi kuacha na huwa wanaambiwa wawe waangalifu
 
Back
Top Bottom