jamani naomba mnisaidie hili dukuduku nililonalo.Je,mtu alie na HIV na ambae anaendelea kumeza dawa (ARVs) anaweza pia akawa anakunywa pombe bila kupata madhara?
tulio wengi tunaelewa kabisa mfano kama mtu unaumwa malaria na uko ndani ya dozi basi hutakiwi kunywa pombe!je, kwa case hiyo ya muathirika wa ukimwi inakuwaje?