waathirika

maji ya gundu

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2018
Posts
3,070
Reaction score
4,698
hivi kwanini watu wakishajua wameathirika na ukimwi wananjifanya wanafanya mazoezi sana

yaani huwa nakereka sana asubuhi nikikutana na watu Ninaojua wameathirika afu wanajifanya wanafanya mazoezi


yaani wengine wanaboa unakuta hakina nyama kipo kipo tuuh afu kinajitia kinafanya mazoezi
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Inawezekana ikawa unahitaji kuelimishwa.

Kwa nini unakereka wakifanya mazoezi?
 
Kwan wakifanya mazoezi ww unapungukiwa nn?? Unataka wafe au
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…