waathirika

usicheze na kifo mkuu......kila utakachoambiwa kula utakula
 
Kwan ukafunga macho usione walivyovaa au ukapishana nao halafu ukavunga utakufa?
yaani wanikoseshe uhuru wa kutizama kisha udwanzi wao

na we wale wale hivi ukifikiria kwanza ndo ukauliza au umejikuta tu umeuliza?
 
Kama unatambua kila mtu ana uhuru na haki ya kufanya kitu anapenda kama mazoezi ya mwili yann uje kulalamika humu jf??
 
pole kwa kuto elewa

jifunze kuchangia hoja kitu ukichoelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…