Inategemea mazingira unamoishi..kama ni kijijini..hii inaweza kuwa ishu.
Kama ni mjini....hizo ni supplies kama supplies nyingine ndani ya nyumba jamani!
Maisha yamebadilika siku hizi.... enzi zile za mababu wakivaa matambara... kweli baba asingehusika..
Siku hizi ulimwengu wa tofauti... unapoenda dukani kufanya shopping ya mwezi au wiki... akina baba msiogope kuchukua sanitary pads pamoja na pampers za watoto wenu!\Cha msingi wewe baba usiende kwa undani kuzigawa ..wewe ziweke stoo au popote kutegemeana na mpangilio wa nyumbani kwako... wenyewe wal;engwa watajua nini cha kufanya...
Ndivyo nionavyo mimi.

mbona siku hizi mara nyingi unashindwa kutoa comment? tatizo nini FL1?nashindwa kutoa Coment zangu ....

Kwanini umununulie wewe baba wakati mama yupo,kwa mila na desturi za Kiafrika vitu kama taulo za ndani au chupi ni vitu nyeti na mtoto akisha vunja ungo tunachukulia ni mtu mzima na haifai kwa baba ukajua kuwa binti ana chupi aina fulani au siku zake zimefika,kwa kifupi kama baba mambo hayo ni ya binti na mama na pia unatakiwa kumpa binti wako angalau vijisenti kidogo kwani hawezi kuja kukuomba hela ya pedi,huo sio utamaduni wetu sisi waafrika na sababu ya mabadiliko vitu kama pedi vilikuwa havitangazwi hadharani kama ilivyo siku hizi,utakuta umekaa mezani unakula pamoja na familia yako mara tangazo la pedi linatokea kwetu sisi wengine hujisikia vibaya na ndio maana siangalii TV pamoja na vijana wangu sababu ya mambo ya hovyo kama hayo
inategemea mazingira unamoishi..kama ni kijijini..hii inaweza kuwa ishu.
Kama ni mjini....hizo ni supplies kama supplies nyingine ndani ya nyumba jamani!
Maisha yamebadilika siku hizi.... Enzi zile za mababu wakivaa matambara... Kweli baba asingehusika..
Siku hizi ulimwengu wa tofauti... Unapoenda dukani kufanya shopping ya mwezi au wiki... Akina baba msiogope kuchukua sanitary pads pamoja na pampers za watoto wenu!\cha msingi wewe baba usiende kwa undani kuzigawa ..wewe ziweke stoo au popote kutegemeana na mpangilio wa nyumbani kwako... Wenyewe wal;engwa watajua nini cha kufanya...
Ndivyo nionavyo mimi.
Kama waweza mnunulia mkeo why not binti yako? Wenye wake zenu mnajulishwa kila mara Mamaa awapo kwenye siku zake? Angalieni mtasaidiwa si mchezo!
waambie jirani, wanachokumbuka kwa watoto wao ni ada na nauli tu. Hawajui mahitaji mengine ya watoto wao, jiulize ni akina baba wangapi wamewanunulia vijana wao vitu kama "sendo" mikanda ya suruali, na hata pesa za dharula.sasa jamni binti wa miaka 23 si bado anasoma hiviyo mzazi inabidi umnunulie au unataka fataki wakusaidie kulea😕