Wababa kununua nguzo/taulo za ndani watoto wa kike dhambi

 
sioni cha ajabu hapo!mimi nimelelewa katika single family na mama tu!!nilipokuwa na umri wa kuanza ku do, (nadhani mama alihisi nimeanza ku do) nilikuwa nikikuta box la kondom chumbani kwangu!!na hakuwa akiniambia chochote!!nilikuwa nikizitumia, sijui alikuwa akija kuangalia zimebaki kiasi gani lakini alikuwa akileta box jingine kila lile la awali lilipo karibia kuisha!!

kwa maana hiyo siyo vibaya kuwanunulia,ukiona huwezi kuwapatia direct just ziache kwenye wash-room!!
 
iyo aiji na aiko kiivyo jamani sisi ni ni wabongo na waafrika ivyo ni lazima tuuenzi ubongo wetu pamoja na uafrika wetu pia'
 
Huu ni mtazamo tu! Baba mmoja ambaye ni marehemu sasa, nusura awe mkwe wangu. Huyu mzee alikuwa na mabinti watano, alichofanya mara nyingi ni kununua carton ya hizo pedy na kumkabidhi mama yao.
Hapa hakuna dhambi hata chembe. Kwani tafsiri ya dhambi haina uhusiano kabisa na tendo hili la upendo wa baba kwa binti yake aliye mlea tangu akiwa mimba.

Nunulieni mabinti zenu zawadi zote njema hakuna dhambi hapa .......
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…