wos hiyo ya mama na mtoto duh??
hivi watu wa aina hii hawapati laana?
Heeeeeee kuku na mayai yake walaaa tuuu! Hi ni aibu na zaidi ya laana yaani mnakatikiana viungo baba na mwana! na Mwana anajua fika hii ni mali anayotumia mama duh! Mola tuepushe na haya:mad2::mad2::mad2::mad2:
Psychopaths with do such a thing, Dont forget we are living in the last days, so anything is possible. But, then, this question ought not to arise! that a father will start getting carried away by his daughters luscious apples, and honey pot? Only a mad man and devil incarnate would say yes to sleep with his daughter.
DuuhHii kitu ipo kabisa.. Nimeshuhudia Mama mzazi wa binti akiwafumania Mume wake na binti yao ktk hotel fulani jijini Dar. Na kisa ni kuwa, siku moja binti alimkuta baba yake akiwa na mwanamke mwingine na alimwambia huyo mwanamke ambaye ni rafiki wa familia hiyo, ya kuwa atamweleza Mama yake mambo wanayoyafanya. Baba alivyosikia hivyo, siku moja akamfata binti yake akiwa chuoni, na kumkaribisha hoteli aliyofikia akamlewesha kwa mvinyo na kumuingilia, yule baba akaondoka na kumwacha binti akiwa amelala.. Asubuhi binti alivyojijua kuwa hali hiyo imetokea, alitaka kumweleza Mama yake lakini akaona ni ngumu, Alipomaliza chuo na kurudi nyumbani, siku nyingine Baba yake akamtokea akiwa hana nguo na alipotaka kupiga kelele, baba yake akamwambia, mbona tulishafanya siku ile, Ujue mambo ya wakubwa hutakiwi kuyaingilia, Binti akanza kulia, Baba akambembeleza na hatimae kumuingilia tena.. Ikawa mazoea mpaka Mama aliposhtuka na kupanga kuwakamata live. Its a real story na ilitokea kama miaka miwili iliyopita.
Mungu epushia mbali uchafu huu...
Asee1. kuna mzee mmoja jirani yetu alitembea na mtoto wake wa kike mkubwa, mke alipogundua alifungasha kilicho chake na kurudi kwao na jamaa akaoa mke mwingine, kosa alilolifanya alimuacha binti yake mdogo kwa baba akiwa darasa la 4, mtoto alipofika form 2 mke mpya alimkuta dingi amemlaza mtoto kitandani tayari kabisa kwa shughuli pevu (inasemekana mzee alianza kumpiga huyu binti mwingine kitambo sana)
2. jirani nyumba ya 2 yeye mpaka amezaa na binti yake, mama na binti ni paka na chui
3.mkurugenzi wa wilaya alikuwa na ngoma hlf alikuwa anapiga binti yake, mahusiano yao hayakuwa siri
4. rafiki yake na mzee wangu OCD alikuwa anapiga binti yake na huku akijua fika ameathirika
Liumba bot!Binti alishakufa...mama naye kafa....Baba kwa sasa yuko keko ana kesi ya mambo ya maghorofa fulani ya umma....ila inadaiwa serikali imemtuliza kutokana na mradi wake wa kueneza ukimwi kwa makusudi kwa mabinti zetu wenye kiherehere na magari ya rangi maroon aliyokuwa anawapa