ahh mi sjaolewa nawala sjui swaga izo bt mmh apana HAWEZEKAN MWANAUME ASMGUSE MKEWE MWEZI kwa mazngira ya kawaida
labda km anaumwa na apo utajua that mwenzangu anaumwa au hayupo kwenye mudi kutokana na biashara,kazi kuwa mbaya ,ana kies kubwa mahakamani that znamchanganya mpk anashndwa KUSMAMISHA DEDE... nk
sasa uyo km hata awajagombana y awe ivyo????
ana kmada au hadhi ya kumuona km uyo mke ni mkewe imekwisha so anamchukulia km dadake tu...!!!!!!!
KUULIZA JF SI NJIA SAHIHI NADHAN ANGEMFACE MUMEWE NA KUMWULIZA HP ANGEPEWA MAJIBU MEMA....labda angeleta ayo majibu ili ashauriwe km yana ukweli kdg au danganya toto kutokana na xpernc za watu manake jf aminia hakuna kinachokosa jibu umu!!!!!
ivi mwanaume mwenye ndoa anaweza kukaa muda gani bila kumgusa mkewe namaanisha wanaishi vizuri tu lakin jamaa haonyeshi interest kwenye iyo kitu labda mke amuombe hata mwezi unakatika nini inaweza kuwa sababu h umna ugomvi kati yao hapo?
ivi mwanaume mwenye ndoa anaweza kukaa muda gani bila kumgusa mkewe namaanisha wanaishi vizuri tu lakin jamaa haonyeshi interest kwenye iyo kitu labda mke amuombe hata mwezi unakatika nini inaweza kuwa sababu h umna ugomvi kati yao hapo?
huu ugonjwa sijui utaisha lini, maana kila mtu ni PM, wewe si ndo unatakiwa umPM ili ijiexpress!!!???Dah kumbe naweza du ze nid ful kwako ni PM basi tujadili kwa kirefu zaidi
well said FP yani kile kichwa cha chini kikiinuka tu, hauji kama umechoka wala nini as far as anajua sio tarehe za mshahara, atafanya kila linalowezekana agonge ngozi.huyo atakuwa MGONJWA; the truth is, haya mandugu huwa hayawezi kupata usingizi bila kusumbua wenzao, hata kama yamechoka vipi
huu ugonjwa sijui utaisha lini, maana kila mtu ni PM, wewe si ndo unatakiwa umPM ili ijiexpress!!!???