Soloma TV Online
Senior Member
- Jun 26, 2023
- 104
- 291
Kutokana na hali kutokuwa shwari nchini Sudan kuna uwezekano mkubwa kwa timu ya AL Merrikh kutafuta Uwanja nje ya Sudan watakaoutumia kama wa nyumbani dhidi ya Yanga.
Na hii inaweza kuwaongoza moja kwa moja ndani ya Uwanja wa Chamazi ulioko Dar es Salaam Tanzania.
Uwezekano ni mkubwa kwa kuwa Uwanja wa Chamazi una facilities zote hitajika kwa timu na ni moja ya Viwanja bora sana Ukanda huu wa Afrika Mashariki na Kati.
Ikumbukwe kuwa Uwanja huu pia unatumiwa na Mabingwa wa Tanzania timu ya soka ya Yanga kama Uwanja wake wa nyumbani kunako michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika.