Soloma TV Online
Senior Member
- Jun 26, 2023
- 104
- 291
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Watakuwa wapuuzi sana kama wakija hapa. Watarogwa mpaka washangae
Wanatumia uwanja wa Huye stadium ulioko nchini Rwanda, na kama unavyojua yanga pale Rwanda ni kama wapo kwa mkapa tu wacha inyeshe tuone panapovujaHawawezi fantastic huo utopolo. El merreikh ni washindani na wana hela ya kuwaacomodate yanga popote Afrika.
Timu inayoopt kucheza na yanga mechi zote ni masikini jamii ya zalan na hao wajibuti ambao kwao wameopt kusave cost na kuwapa unafuu
Wasudani ni rahisi kwao kuipeleka yanga Ethiopia au Egypt kuliko kuja Tanzan kwa mechi zote mbili
Mwisho wa yanga ni kwa almerreikWanatumia uwanja wa Huye stadium ulioko nchini Rwanda, na kama unavyojua yanga pale Rwanda ni kama wapo kwa mkapa tu wacha inyeshe tuone panapovuja
Naisave comment yakoMwisho wa yanga ni kwa almerreik
Sawa ngoja tusubiliMwisho wa yanga ni kwa almerreik
Huyu mwandishi ni zuzu. Kila anachokiwaza anatungia storiRwanda hao game zao
Mechi zote mbili kivipi ndgu?? Mechi moja tu ndo anaamua aichezee wapi as home ground.Hawawezi fantastic huo utopolo. El merreikh ni washindani na wana hela ya kuwaacomodate yanga popote Afrika.
Timu inayoopt kucheza na yanga mechi zote ni masikini jamii ya zalan na hao wajibuti ambao kwao wameopt kusave cost na kuwapa unafuu
Wasudani ni rahisi kwao kuipeleka yanga Ethiopia au Egypt kuliko kuja Tanzan kwa mechi zote mbili
Mechi zote mbili kivipi ndgu?? Mechi moja tu ndo anaamua aichezee wapi as home ground.
Ndo haiwezekani hao wasudani kupeleka mechi zote mbili huko nchi za watu maana Yanga ana uwanja.ZAlan na hawa wajibuti mechi zote mbili si wamecheza tz? Namaanisha ya home and away boss
Yanga Ina miaka 24 bila kufanikiwa kucheza makundi klabu bingwa Africa.Si wanatumia uwanja wa amahoro Kigali au sio? Yanga popote anapiga tu hakuna cha kwa mkapa hatoki.
Wanatumia uwanja wa Butare huko RwandaKutokana na hali kutokuwa shwari nchini Sudan kuna uwezekano mkubwa kwa timu ya AL Merrikh kutafuta Uwanja nje ya Sudan watakaoutumia kama wa nyumbani dhidi ya Yanga.
Na hii inaweza kuwaongoza moja kwa moja ndani ya Uwanja wa Chamazi ulioko Dar es Salaam Tanzania.
Uwezekano ni mkubwa kwa kuwa Uwanja wa Chamazi una facilities zote hitajika kwa timu na ni moja ya Viwanja bora sana Ukanda huu wa Afrika Mashariki na Kati.
Ikumbukwe kuwa Uwanja huu pia unatumiwa na Mabingwa wa Tanzania timu ya soka ya Yanga kama Uwanja wake wa nyumbani kunako michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika.
View attachment 2729133
Kama uchawi unacheza Azzam uwanja ni wao, imekuwaje wametolewa?Watakuwa wapuuzi sana kama wakija hapa. Watarogwa mpaka washangae