Wabarbaig na Wamang'ati

geesten66

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2017
Posts
2,042
Reaction score
2,370
Hivi kuna tofauti kati ya wabarbeig na Wamang'ati?
 
Ivi kunatofauti kati ya wabarbeig na Wamang'ati.
Wadatooga (pia huitwa Wataturu au Wamang'ati) ni kabila la watu wa Kiniloti nchini Tanzania wanaoishi hasa katika mikoa ya Manyara, Mara, Arusha na Singida.

Mwaka 2000 walikadiriwa kuwa 87,978.

Lugha yao ni Kidatooga, ingawa lahaja zake zinatofautiana kiasi kwa kufanya maelewano kuwa magumu.

Kuna walau makundi saba:

1- Wabajuta
2- Gisamjanga (Kisamajeng, Gisamjang)
3- Wabarabayiiga (Barabaig, Barabayga, Barabaik, Barbaig)
4- Waasimjeeg (Tsimajeega, Isimijeega)
5- Warootigaanga (Rotigenga, Rotigeenga)
6- Waburaadiiga (Buradiga, Bureadiga)
7- Wabianjiida (Biyanjiida, Utatu)
 
Ahsante sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…