Wabeba maboksi wa Denmark wamlilia Rais Magufuli

Wabeba maboksi wa Denmark wamlilia Rais Magufuli

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined
May 15, 2006
Posts
94,296
Reaction score
122,540
Hawa ndugu zetu wa huko Denmark, yaani wabeba maboksi wa huko, siku ya mazishi ya hayati Rais Magufuli, waliacha kufanya kila kitu na kufuatilia kwa umakini sana shughuli za mazishi za mpendwa.

Nyuso zao ni za simanzi kubwa. Hakika kifo cha Magufuli kimewagusa watu dunia nzima.

Na hivi ndivyo ilivyokuwa kwa wabeba maboksi wote wa Kitanzania duniani kote.

Machi 26 tuliweka chini maboksi kuungana na Watanzania wenzetu kumzika aliyekuwa Rais wetu.

 
Back
Top Bottom