The Icebreaker
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 22,278
- 65,817
Kwa tafsiri ya haraka haraka,Ushamba
Sio kesi walaKwa tafsiri ya haraka haraka,
"Ushamba maana yake ni kushangaa jambo ambalo wenzako wanaliona ni la kawaida"
So,kwa tafsiri hiyo kila mtu ana ushamba wake na kwa wakati wake,kwani hakuna ajuaye kila kitu au aonae kila kitu ni cha kawaida.
Hakuna sehemu yeyote niliyosema kua ni Kesi.Sio kesi wala
Sahihi kabisa,Home is where you happy and treated well. Siyo lazima kubanana bongo.
✋Hakuna sehemu yeyote niliyosema kua ni Kesi.
niliwahi kusoma hili sehemu ila sikujua sababu. tufafanulie please.Broke ass Niggs alafu wengi wanaotoka huku wakienda Marekani wanaishi Alabama, Uingereza wanaishi Reading.
Yupo bado bongo au alishasepa[emoji1]Kitambo sana miaka ya 90 kuna baharia mmoja (jina kapuni)alirudi bongo basi pale kitaani alikuwa anajifanya bab k,sasa sisi ndiyo tulikuwa kama watu wake wapambe hv
Enz hz dogo janja,sasa kuna siku akatupa camera twende tukapige picha sehemu za uswaz kama kino shamba,mwananyama kisiwani,msisiri kulee ili aone watu wanaishiji
Mjing alikuwa anaweza toka nje na chupi
[emoji23][emoji23][emoji23]ila kama unavyojua maisha tena hko nje alibugi nn sjui akarudi bongo alipigika sana,mpaka sasa kimyaaaa tuli
Ila hii video nmeishia kucheka tu
Ova
We hujarekodi mkuu 😂😂
Jamaa wana akili fupi siajabu hata darasa la tatu hawakufikahahaha, kuwa na viatu vingi ndio KUISHI?? hovyo kwelikweli