Wabeba maboksi wa Ulaya wakijishaua wakati kwao Afrika wamesahau hata kujenga banda la Makuti

Mtoa hoja una roho ya kimasikini, pambana na hali yako, elewa huku lingusenguse hatuna maji Safi na salama hadi leo, ila life goes on,mchawi sana wewe, kujenga au kutojenga wewe kunakusaidia nini?
 
Wabongo bana...sasa nini mantiki ya huu uzi, kwani kujenga kibanda kwao kuna ulazima gani, wacha watu wapae kama tai. Sio kila mtu ana akili za kuganda hapo kijijini....
 
Wabongo bana...sasa nini mantiki ya huu uzi, kwani kujenga kibanda kwao kuna ulazima gani, wacha watu wapae kama tai. Sio kila mtu ana akili za kuganda hapo kijijini....
Zelenskyy wewe ushajenga kwenu huko kwa mabillion ya wamarekani ata kutucheka basiii🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…