Wabia wanahitajika

Wabia wanahitajika

ubongokid

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2017
Posts
2,154
Reaction score
4,184
Habari za kuamka
Wanahitajika wabia wanne wenye uwezo wa kuwekeza katia ya milioni 1.5 hadi 7 katika biashara inayohusu elimu.Matarajio ya faida ni kati ya shilingi 300,000 hadi 750,000 kwa miezi mitatu

Aina ya biashara ni:

  • Uwekezaji katika elimu kuandeleza tuition centres na vocational colleges
  • Uwekezaji katika tehama,uundaji na usambazaji wa software solutions
  • Uwekezaji katika media uandaaji na uuzaji wa vipindi vya redio na television
Utapiwa wa maelezo kamili ya miradi na namna inavyoteklezwa na jinsi pesa zinavyotumika na utakuwa na access ya kuona mapato na matumizi at real time ili kujua namna pesa inavyotumika na utashiriki katika kutoa ruhusa ya matumizi ambayo yanazidi 50% ya kiwango cha mtaji wako.

Kwa maelezo zaidi twende pm
 
.
 
Back
Top Bottom