ubongokid
JF-Expert Member
- Apr 30, 2017
- 2,154
- 4,184
Habari za kuamka
Wanahitajika wabia wanne wenye uwezo wa kuwekeza katia ya milioni 1.5 hadi 7 katika biashara inayohusu elimu.Matarajio ya faida ni kati ya shilingi 300,000 hadi 750,000 kwa miezi mitatu
Aina ya biashara ni:
Kwa maelezo zaidi twende pm

- Uwekezaji katika elimu kuandeleza tuition centres na vocational colleges
- Uwekezaji katika tehama,uundaji na usambazaji wa software solutions
- Uwekezaji katika media uandaaji na uuzaji wa vipindi vya redio na television
Kwa maelezo zaidi twende pm