Kadi inabaki pale pale kwa sababu inatokana na yeye kuvua jezi!*MADA*
Mchezaji Akifunga Goli Kisha Akashangilia Kwa Kuvua Jezi Halafu Akapata Kadi Ya Njano Ila Baada Ya Muda Goli Likakataliwa Kwa Sheria Ya VAR,
Je Ile Kadi Ya Njano Inafutwa Au Inabaki?
*KARIBUNI SANA TUJADILI KWA PAMOJA*
Sent using Jamii Forums mobile app
Kadi haitokani na kufunga goli, bali kuvua jezi. Hata bila goli ukivua jezi ni kadi tu.MADA
Mchezaji Akifunga Goli Kisha Akashangilia Kwa Kuvua Jezi Halafu Akapata Kadi Ya Njano Ila Baada Ya Muda Goli Likakataliwa Kwa Sheria Ya VAR,
Je Ile Kadi Ya Njano Inafutwa Au Inabaki?
KARIBUNI SANA TUJADILI KWA PAMOJA
Sent using Jamii Forums mobile app
mpira ukirushwa direct bila kuguswa na mtu hili linakua sio gorinaongeza swali
mpira uliotoka nje na ukarushwa kwa mkono na ukaingia moja kwa moja hadi golini, hapo ni goli au.?
Mimi naamin jamiiforum n sehemu ya watu wanaojielewa sasa cjui we we unaanza kuleta mambo ya kwenye Facebook uku,,,MTU kauliza kitu anataka kufahamu kama hujui bora ukae kimya kuliko kuleta uhuni mav@.
Mimi naamin jamiiforum n sehemu ya watu wanaojielewa sasa cjui we we unaanza kuleta mambo ya kwenye Facebook uku,,,MTU kauliza kitu anataka kufahamu kama hujui bora ukae kimya kuliko kuleta uhuni mav@.
Sent using Jamii Forums mobile app
Cards Ziko 2 tu, njano na nyekundu,