Ab-Titchaz
JF-Expert Member
- Jan 30, 2008
- 14,630
- 4,253
http://www.washingtonpost.com/wp-dyn/content/gallery/2007/12/31/GA2007123102000.html
Naomba muangalie hizi picha nd'o muone hali halisi iliopo hapo nchi jirani.Some of the pics are really brutal I should say.
Hata hao wapiganao nao si mazuzu. Wana sababu zao; ama zitokanazo na udhaifu wao, au zitokanazo na kunyimwa haki zao. Nasi tuna udhaifu wetu, na kuna unyimwaji wa haki ktk nyanja mbalimbali. Kumbuka, mafisadi kuachwa bila kupewa adhabu wanazostahili, wakati wakosaji wadogo wadogo wanaadhibiwa, ni unyimwaji wa haki za raia. Je, jambo km hili haliwezi kuwa sababu ya machafuko. Si lazima sababu za wakenya ziwe sawa na za kwetu.Usihofu Watanzania sio mazuzu.
Alilolifanya binadamu, binamu mwingine yeyote analiweza. Sijui "wenyewe kwa wenyewe" ni akina nani, na "yeye" ni nani! Wote hao wanaweza kuwa watanzania.Hatuwezi kupigana wenyewe kwa wenyewe. Ati CUF na CCM au Mchaga na Mgogo. Tupigane kwa sababu ya uchaguzi? Hawa wana lao. Na atakayeanza kutuvuruga sisi tutampiga yeye.
Tumeshapokea wakimbizi wengi sana. Tunajua madhara ya vita. Aidha tuna uwezo wa kusema na njaa zetu. Fikiria M'Bongo analipwa mshahara sh. 70,000/= kwa mwezi ana watoto saba wanasoma, ana wake wawili na nyumba ndogo. Anaishi bila taabu. Kamlete Mmarekani Bongo, mlipe mshahara wa dola mia 200 tu bila mke wala mtoto uone atakavyohaha kama siyp kufa kabisa. Wabongo sisi ngangari bwana
Fikiria M'Bongo analipwa mshahara sh. 70,000/= kwa mwezi ana watoto saba wanasoma, ana wake wawili na nyumba ndogo.
The problem is that you can't trust Kibaki for nothing. Kumbuka kua 2002 alipewa mamlaka na wakenya ili kuleta haya mabadiliko watu wanayopigania leo. Je alifanya nini...si aliwasahau wananchi na kujizunguka na jamaa zake. Wakenya wanalilia kitu kimoja muhimu ambacho kitatatua shida zao zote...nacho ni katiba mpya.Kibaki promised to do that in the first 100 days in office.Kisha ikawaje...jamaa alikataa licha ya kwamba referendum ilionyesha watu wanataka ile Bomas of Kenya draft.Sababu ni kwamba the powers of the presidency would be reduced. Hapa nd'o walalahoi wakaanza kuona ubinafsi wa huyu bwana na ukabila wake. Wewe unadhani Kibaki will call a meeting to overhaul the ECK...utasubiri m'da mrefu sana.Yote wanayofanya ni kumuandalia Uhuru Kenyetta kiti cha urais hapo 2012 na wakenya washaona hii kitu na wamekataa.. We do not need leaders like Kibaki or M7 hapa Easti maana wanatuchelewesha mambo kibao.hivi odinga angekubali kunyongwa na kujitahidi kuweka mikakati ya kuwa na uchaguzi ufuatao kuwa huru zaidi na makosa yalioooooopo yasijutokeze tena angehasirika nnnn?
au haki itendeke lazma yeye awe rais ?
Hii nayo ni sifa ya sisi kujivunia? Mhhh, hapana haijakaa sawa! Halafu tunategemea kushinda mapambano dhidi ya ufisadi... kwa mwendo huu kaazi kwelikweli...Fikiria M'Bongo analipwa mshahara sh. 70,000/= kwa mwezi ana watoto saba wanasoma, ana wake wawili na nyumba ndogo. Anaishi bila taabu.
hivi odinga angekubali kunyongwa na kujitahidi kuweka mikakati ya kuwa na uchaguzi ufuatao kuwa huru zaidi na makosa yalioooooopo yasijutokeze tena angehasirika nnnn?
au haki itendeke lazma yeye awe rais ?
your right. kama Odinga inaipenda sana Kenya na wakenye, basi awenao kwenya maandamano na akifa si watagombea wengine? kwani lazima yeye ndo awe rais?
u hav got a point sir. mbona kuna watu walifia uhuru, dini nk, sasa kwanini Odinga asiwe tayari kuifia kenya na wakenya if he real love them?
Lakini swali linakuja kwanini unaamua kuwa na watoto wengi wakati unajua huna uwezo wa kuwatunza, ina maana watoto hao unawapata kwa bahati mbaya au unalazimishwa kuwa nao. Umasikini na tabu nyingine tunajitakia
hivi odinga angekubali kunyongwa na kujitahidi kuweka mikakati ya kuwa na uchaguzi ufuatao kuwa huru zaidi na makosa yalioooooopo yasijutokeze tena angehasirika nnnn?
au haki itendeke lazma yeye awe rais ?
Haya mambo si ya kujitakia Bongolander, wewe fikiria, huyu baba kwake ndio hakuna umeme, ikifika jioni giza linaingia hamna activity wala starehe yeyote anayoweza kujikita nayo (hawezi kuangalia game kwenye TV, kwanza hana, hawezi kujisomea, taa hamna n.k) kula uroda na mamaa ndio starehe iliyopo na haitolei pesa, sasa mtu huyu ataacha kuzaa watoto wote hao? ...
Mugo"The Great";135136 said:Tangu lini uliona "Amirijeshi mkuu" anakwenda mstari wa mbele? Kila mapambano yana strategy zake unafikiri Odinga akijipeleka kwenye kifo ndiyo Kibaki ataachia Kiti? Of course Odinga anawapenda Wakenya na wao wanampenda otherwise wasingekubali kujitoa kafara. Ila ambacho sikubaliani nacho ni uuaji wa raia wasio na hatia unaofanywa na pande zote mbili yaani Serikali na Wapinzani.